Afya

Manyara yaongoza kwa ukeketaji Tanzania

Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Wakati ulimwengu ukiadhimisha wiki ya kutokomeza ukeketaji ulimwenguni, utafiti mpya umebaini idadi ya wanawake waliokeketwa inaendelea kupungua nchini kutoka asilimia 16 mwaka 1996 hadi asilimia… Read more

Nuzulack Dausen / 9 February 2017

Elimu

Hii ndiyo tofauti ya walimu wa mijini na vijijini

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Muhula wa kwanza wa masomo mwaka 2017 umeanza, walimu wa vijijini wanaingia katika kipindi kingine cha kukabiliana na changamoto za kikazi tofauti na wenzao waliopo maeneo ya mijini. Pamoja na… Read more

Nuzulack Dausen / 1 February 2017

Elimu

Mgawanyo usio sawa wa walimu unachangia elimu kushuka

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Licha ya jitihada za Serikali kuongeza walimu wa shule za msingi katika miaka ya karibuni, maelfu ya wanafunzi vijijini huenda wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kufundishwa vipindi vyote, kutokana na… Read more

Nuzulack Dausen / 31 January 2017

Elimu

Kuna uhaba mkubwa wa walimu shule za msingi za umma

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Wakati shule za msingi zikimaliza mwezi wa kwanza katika muhula mpya wa masomo wa 2017, walimu kutoka nusu ya shule za umma nchini watalazimika kufundisha idadi ya… Read more

Nuzulack Dausen / 30 January 2017

Habari

/ Siasa

Transparency International: Ufisadi waanza kupungua Tanzania

Vita dhidi ya ufisadi inayoongozwa na Rais John Magufuli imesaidia Tanzania kupaa kwa alama mbili katika viwango vya mapambano ya rushwa ulimwenguni ikiwa ni mwaka mmoja tangu aingie madarakani. Ripoti mpya ya hali rushwa duniani… Read more

Nuzulack Dausen / 26 January 2017

  • 1
  • 2

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania

Stay up to date with relevant Tanzanian news.

0 Shares
Share
Tweet
Share
Email
WhatsApp