Afya

/Data

/Makala

Vifo vya watoto njiti pasua kichwa Afrika Mashariki

Herieth Makwetta, Mwananchi Wakati nchi zinazoendelea zikipambana na vifo vya wajawazito, makumi ya watoto njiti wanafariki kila siku katika hospitali na vituo vya afya vilivyopo maeneo mbalimbali Tanzania, Uganda na nchini Kenya. Ripoti iliyochapishwa 2012… Read more

Maria Mtili /12 December 2017

Afya

/Data

/Makala

Malaria inavyopoteza maisha ya watoto, wajawazito Busokero

Malaria ni ugonjwa unaoathiri watu wengi duniani ikiwamo Tanzania. Ugonjwa huo husababisha vifo vya watu takriban  milioni 2.7 kote duniani na vingi hutokea barani Afrika. Ugonjwa huo huonekana katika nchi takribani 100 duniani na umeshaleta athari… Read more

Maria Mtili /20 October 2017

Afya

/Data

/Makala

Uhaba wa maji unavyowatesa wanawake wilayani Nachingwea

Sehemu kubwa hutembea umbali mrefu na kupoteza muda wa kufanya shughuli za maendeleo Hawajawahi kuona maji ya bomba au ya kisima cha pampu yakitoka karibu na makazi yao katika maisha yao yote. Wale wachache waliobahatika… Read more

Nuzulack Dausen /5 October 2017

Afya

/Data

/Makala

Uhaba wa maji safi na salama unavyotishia maisha ya wanavijiji wilayani Nachingwea

Nuzulack Dausen, Mwananchi [email protected] Takriban mita 700 kusini mwa barabara ya Nachingwea-Liwale pembezoni mwa kisima kifupi cha wazi katika Kijiji cha Lionja B, Severine Conrad (16) anakunywa maji kwa kutumia kidumu kidogo cha lita tatu… Read more

Nuzulack Dausen /4 October 2017

Afya

/Data

/Habari

Tanzania yakabiliwa na upungufu wa wataalamu dawa za usingizi

Waliopo ni asilimia 1.2 tu ya mahitaji yote ya madaktari hao muhimu katika utoaji huduma za upasuaji Herieth Makwetta, Mwananchi [email protected] Dar es Saalam. Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa dawa za usingizi,… Read more

Maria Mtili /4 October 2017