Data

/ Michezo

Uwanja wa Uhuru waokoa ligi za TFF

Uwanja wa Uhuru umefanyiwa marekebisha na kuruhusiwa kutumika kwa michezo kadhaa na unaonekana kuwa msaada Charles Abel, Mwananchi cabel@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Uwanja wa Uhuru umeandika rekodi mpya ya kuwa uwanja… Read more

Maria Mtili / 28 September 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

/ Mwananchi

Msongamano wa watu Tunduma waibua fursa zilizojificha Nyanda za Juu Kusini

Tunduma ina msongamano mkubwa wa watu kuliko halmashauri nyingine za mikoa ya Mbeya na Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa asema kama kuna mtu anajipanga kwenda Tunduma kufanya biashara za magendo… Read more

Nuzulack Dausen / 25 September 2017

Afya

/ Data

/ Makala

Ukosefu wa huduma bora za afya unavyokwamisha maendeleo Nkasi

Pamoja na jitihada mbalimbali za Serikali kukabiliana na uhaba wa huduma za afya nchini, bado maeneo mengine yanakabiliwa na tatizo hilo kwa zaidi ya asilimia 50. Elias Msuya, Mwananchi Licha ya… Read more

Maria Mtili / 25 September 2017

Mwananchi

Maelfu ya wanafunzi wakaririshwa darasa kwa kushindwa KKK

*Takwimu zaonyesha wanafunzi takriban tisa kwa kila 10 waliokariri darasa mwaka 2016 wanatoka darasa la kwanza hadi la tatu. ndausen@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Licha ya idadi ya wanafunzi wanaokariri madarasa katika elimu ya msingi… Read more

Nuzulack Dausen / 20 September 2017

Mwananchi

Bei elekezi kupunguza maumivu kwa wakulima Tanzania

*Wakulima kuanzia Septemba 15 wataanza kununua mbolea kwa bei mpya ambazo nyingi ni nafuu kuliko ilivyo sasa. ndausen@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Wakulima wa Kyela… Read more

Nuzulack Dausen / 13 September 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania

1 Shares
Share1
Tweet
Share
Email
WhatsApp