Category: Michezo
Simba, Yanga zaibeba Dar
Jiji la Dar es Salaam linaongoza kwa kuwa na timu nyingi zaidi zilizopo katika mashindano yanayotambuliwa na TFF Charles Abel, Mwananchi , [email protected] Dar es Salaam. Kama Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lisipochukua hatua za… Read more
Maria Mtili /4 October 2017
Uwanja wa Uhuru waokoa ligi za TFF
Uwanja wa Uhuru umefanyiwa marekebisha na kuruhusiwa kutumika kwa michezo kadhaa na unaonekana kuwa msaada Charles Abel, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uwanja wa Uhuru umeandika rekodi mpya ya kuwa uwanja… Read more
Maria Mtili /28 September 2017
Siri ya wanawake kuchemka riadha
*Ni wanawake 23 tu walioshiriki mashindano ya kimataifa kwa miaka 20 kati ya wanariadha 130 Imani Makongoro, Mwananchi [email protected] Singida. Wakati Kamati ya Olimpiki Afrika (ANOCA) ikijizatiti kuhakikisha ifikapo 2030 ushiriki wa wanawake katika… Read more
Nuzulack Dausen /23 April 2017
Yanga, Zanaco zinavyoisubiri mechi ya kisasi
Fredrick Nwaka, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Yanga na Zanaco utakaopigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam utakuwa wa kisasi kwa Yanga ambayo… Read more
Nuzulack Dausen /9 March 2017
Mapro wa Ligi Kuu Tanzania washindwa kuthibitisha ubora wao kombe la AFCON
Fredrick Nwaka Dar es Salaam. Licha ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu kupokea wachezaji wengi wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali Afrika, Mapro hao wameshindwa kuthibitisha ubora wao baada sehemu kubwa kutoswa na vikosi vyao vya Taifa… Read more
Nuzulack Dausen /6 January 2017