Category: Elimu
Watoto yatima wanavyofaidi fursa za elimu
Ni wale wanaotoka katika mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi yatima Nuzulack Dausen, Mwananchi [email protected] Katika kipindi ambacho baadhi ya watoto wenye wazazi wote wakideka na kupata… Read more
Maria Mtili /14 November 2017
Umbumbumbu wa Hesabu, Kiingereza unavyotishia mustakabali wa elimu Tanzania
Wadau waishauri Serikali kuwekeza zaidi kwenye masomo hayo kusaidia uchumi wa viwanda [email protected] Msingi dhaifu wa masomo ya Hisabati na Kiingereza unazidi kudhoofisha elimu ya msingi nchini, jambo linalotishia mustakabali wa kuzalisha wataalamu bora… Read more
Nuzulack Dausen /14 August 2017
Uhaba wa vyoo waitesa shule ya msingi iliyokaribu na Ikulu
Aurea Simtowe,Mwananchi [email protected] Rooney* ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliobahatika kusoma shule za msingi za umma maarufu nchini. Kila asubuhi ya siku za wiki huamka na kuanza safari ya kwenda kutimiza ndoto za kielimu… Read more
Nuzulack Dausen /27 July 2017
/Data
Makato ya asilimia 15 yavunja historia ya makusanyo kwenye Bodi ya mikopo
Marejesho yaliyokusanywa ndani ya miezi tisa ni zaidi ya yaliyokusanywa miaka mitatu iliyopita Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Vigogo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)… Read more
Nuzulack Dausen /16 May 2017
Hali sasa ngumu mikopo ya elimu ya juu
Wanafunzi saba kwa kila 10 waliiomba mwaka huu wamekosa. Tahliso yaomba Serikali iwahishe utoaji wa majina wanaostahili kupata mikopo ili kupunguza usumbufu. Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam/Dodoma. Wanafunzi wanaotegemea… Read more
Nuzulack Dausen /15 May 2017