About: nuzulack
- Profile
- Nuzulack Dausen ni Mkuu wa dawati la habari za takwimu wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti. Mwaka 2015 alishinda tuzo ya Mwandishi bora wa habari za Uchunguzi kwa upande wa magazeti zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Amejikita zaidi katika habari za biashara, uchumi, teknolojia na data.
Posts by nuzulack:
- Yanayofahamika kuhusu ukuaji wa elimu ya msingi Tanzania, 05 Dec 2017 in Mwananchi