Namna idadi ya wanaosusa ving’amuzi ilivyoongezeka kwa kasi
Asilimia 29.4 ya waliokuwa wamenunua ving’amuzi mwaka jana walikuwa hawavitumii ikilinganishwa na asilimia sifuri mwaka 2014 Prosper Kaijage, Mwananchi; [email protected] Takribani theluthi moja ya watumiaji wa ving’amuzi nchini hawavitumii tena vifaa hivyo kutazama luninga, kiwango… Read more
Maria Mtili /13 December 2017
/Data
Vifo vya watoto njiti pasua kichwa Afrika Mashariki
Herieth Makwetta, Mwananchi Wakati nchi zinazoendelea zikipambana na vifo vya wajawazito, makumi ya watoto njiti wanafariki kila siku katika hospitali na vituo vya afya vilivyopo maeneo mbalimbali Tanzania, Uganda na nchini Kenya. Ripoti iliyochapishwa 2012… Read more
Maria Mtili /12 December 2017
Yanayofahamika kuhusu ukuaji wa elimu ya msingi Tanzania
Kuna mafanikio makubwa katika uandikishaji wa wanafunzi. Bado serikali inatakiwa kuwekeza katika njia madhubuti zitakazowasaidia watoto kujifunza [email protected] Dar es Salaam. Baada ya kuporomoka kwa kasi miaka minne iliyopita, ufaulu wa mtihani wa… Read more
Nuzulack Dausen /5 December 2017
Zaidi ya nusu ya wenye VVU Tanzania virusi vyao vyafubazwa
• Utafiti huo unaonyesha matumaini katika kufikia malengo 90-90-90 ifikapo mwaka 2020. • Watu wenye VVU waitaka Serikali itunge sheria ya ARVs. • Wataalamu wa afya wanasema ufubazaji wa VVU unaongeza muda wa… Read more
Nuzulack Dausen /1 December 2017
Mwanafunzi aliyejifungulia chooni Geita alivyoibua mjadala wa kuwalinda watoto wa kike
Mkoa huo pia ndiyo unaongoza kwa wanafunzi wengi kuacha masomo elimu ya msingi. [email protected] Dar es Salaam. Sophia Mlehela, mkazi wa kata ya Ibondo mkoani Geita anajuta kwa kukaa mbali na mwanaye na… Read more
Nuzulack Dausen /21 November 2017