Mwananchi

Yanayofahamika kuhusu ukuaji wa elimu ya msingi Tanzania

  Kuna mafanikio makubwa katika uandikishaji wa wanafunzi. Bado serikali inatakiwa kuwekeza katika njia madhubuti zitakazowasaidia watoto kujifunza ndausen@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Baada ya kuporomoka kwa kasi miaka minne iliyopita, ufaulu wa mtihani wa… Read more

Nuzulack Dausen / 5 December 2017

Mwananchi

Zaidi ya nusu ya wenye VVU Tanzania virusi vyao vyafubazwa

• Utafiti huo unaonyesha matumaini katika kufikia malengo 90-90-90 ifikapo mwaka 2020. • Watu wenye VVU waitaka Serikali itunge sheria ya ARVs. • Wataalamu wa afya wanasema ufubazaji wa VVU unaongeza muda wa… Read more

Nuzulack Dausen / 1 December 2017

Mwananchi

Mwanafunzi aliyejifungulia chooni Geita alivyoibua mjadala wa kuwalinda watoto wa kike

Mkoa huo pia ndiyo unaongoza kwa wanafunzi wengi kuacha masomo elimu ya msingi.   ndausen@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Sophia Mlehela, mkazi wa kata ya Ibondo mkoani Geita anajuta kwa kukaa mbali na mwanaye na… Read more

Nuzulack Dausen / 21 November 2017

Mwananchi

Wivu wa mapenzi wawamaliza Dodoma idadi ya visa vya mauaji ikipungua

• Ripoti ya uhalifu na makosa ya barabarani ya mwaka 2016 inaonyesha sehemu kubwa ya mauaji yaliyotokea mwaka jana mkoani Dodoma yalisababishwa na wivu. • Sehemu kubwa ya wakazi wa Tabora waliuawa mwaka jana… Read more

Nuzulack Dausen / 10 November 2017

Biashara

/ Data

/ Makala

/ Mwananchi

Unaweza kutumia haya kupima ukuaji uchumi wa miaka miwili ya JPM

Serikali ya Rais Magufuli ambayo imetimiza miaka miwili madarakani, inahitaji kuwekeza kwa kasi kukuza uchumi wa kitaifa ili kuwanufaisha watu wengi Mwananchi ndausen@mwananchi.co.tz Rais John Magufuli amemaliza miaka miwili tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tano… Read more

Nuzulack Dausen / 6 November 2017

Mwananchi

Utoaji chanjo ya tetenasi kwa wajawazito washuka

Kiwango cha wajawazito waliopata chanjo hiyo mwaka 2014 kilipungua hadi asilimia 72 kutoka asilimia 85 mwaka 2013. Wataalamu wa afya wanasema chanjo hiyo ni muhimu kuzuia madhara ya kutu kuingia kwenye mzunguko wa damu. mwananchindausen@mwananchi.co.tz… Read more

Nuzulack Dausen / 31 October 2017

Mwananchi

Mambo ambayo huenda huyajui kuhusu mchele wa Kyela

Shirika la Chakula  na Kilimo Duniani (FAO) laeleza kuwa mchele wa Kyela unaaminika kuwa bora zaidi nchini ukifuatiwa na ule unaotoka wilaya nyingine za Mbeya. Licha ya umaarufu huo wa Kyela, bado eneo la ardhi… Read more

Nuzulack Dausen / 19 October 2017

Mwananchi

Sababu ya baadhi ya visima vya maji kutotoa huduma Tanzania

  Kiwango cha visima vinavyochimbwa na wakala wa uchimbaji visima na mabwawa (DDCA) kimeongezeka zaidi ya mara tatu ndani ya miaka minne. Hata hivyo, mwaka 2015/16 kisima kimoja kwa kila vitano vilivyochimbwa hakikufanya kazi na… Read more

Nuzulack Dausen / 15 October 2017

Mwananchi

Madereva waluwalu wanavyowamaliza Watanzania barabarani

Makosa ya kibinadamu yanasababisha zaidi ya robo tatu ya ajali zote nchini hususan uzembe wa madereva wa magari na bodaboda. Wadau wataka Serikali iboreshe sheria za usalama barabarani ili kutoa adhabu kali kwa madereva. Read more

Nuzulack Dausen / 10 October 2017

Mwananchi

Utoro wa walimu wapoteza nusu ya muda wa masomo Tanzania

Ripoti ya Benki ya Dunia yabainisha kuwa robo tatu ya watoto wa darasa la tatu Tanzania, Uganda na Kenya walishindwa kuelewa jina la mbwa baada ya kusomewa na wenzao kwa Kiingereza. Walimu Tanzania wanatumia asilimia… Read more

Nuzulack Dausen / 5 October 2017