Afya

/ Data

/ Makala

Vifo vya watoto njiti pasua kichwa Afrika Mashariki

Herieth Makwetta, Mwananchi Wakati nchi zinazoendelea zikipambana na vifo vya wajawazito, makumi ya watoto njiti wanafariki kila siku katika hospitali na vituo vya afya vilivyopo maeneo mbalimbali Tanzania, Uganda na nchini Kenya. Ripoti iliyochapishwa 2012… Read more

Maria Mtili / 12 December 2017

Afya

/ Data

/ Makala

Malaria inavyopoteza maisha ya watoto, wajawazito Busokero

Malaria ni ugonjwa unaoathiri watu wengi duniani ikiwamo Tanzania. Ugonjwa huo husababisha vifo vya watu takriban  milioni 2.7 kote duniani na vingi hutokea barani Afrika. Ugonjwa huo huonekana katika nchi takribani 100 duniani na umeshaleta athari… Read more

Maria Mtili / 20 October 2017

Afya

/ Data

/ Makala

Uhaba wa maji unavyowatesa wanawake wilayani Nachingwea

Sehemu kubwa hutembea umbali mrefu na kupoteza muda wa kufanya shughuli za maendeleo Hawajawahi kuona maji ya bomba au ya kisima cha pampu yakitoka karibu na makazi yao katika maisha yao yote. Wale wachache waliobahatika… Read more

Nuzulack Dausen / 5 October 2017

Afya

/ Data

/ Makala

Uhaba wa maji safi na salama unavyotishia maisha ya wanavijiji wilayani Nachingwea

Nuzulack Dausen, Mwananchi ndausen@mwananchi.co.tz Takriban mita 700 kusini mwa barabara ya Nachingwea-Liwale pembezoni mwa kisima kifupi cha wazi katika Kijiji cha Lionja B, Severine Conrad (16) anakunywa maji kwa kutumia kidumu kidogo cha lita tatu… Read more

Nuzulack Dausen / 4 October 2017

Afya

/ Data

/ Habari

Tanzania yakabiliwa na upungufu wa wataalamu dawa za usingizi

Waliopo ni asilimia 1.2 tu ya mahitaji yote ya madaktari hao muhimu katika utoaji huduma za upasuaji Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz Dar es Saalam. Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa dawa za usingizi,… Read more

Maria Mtili / 4 October 2017

Afya

/ Data

/ Makala

Ufuatiliaji unavyoweza kudhibiti ‘vifo’ vya miradi ya maji vijijini

Maeneo mengi yenye miradi iliyokufa wananchi wake wanachota maji katika vyanzo visivyo safi na salama Nuzulack Dausen, Mwananchi; ndausen@mwananchi.co.tz Zaidi ya mwaka mmoja sasa wananchi wa vijiji vya Namikango A, Nangunde na Namikango B hawana… Read more

Maria Mtili / 2 October 2017

Afya

/ Data

/ Makala

Ukosefu wa huduma bora za afya unavyokwamisha maendeleo Nkasi

Pamoja na jitihada mbalimbali za Serikali kukabiliana na uhaba wa huduma za afya nchini, bado maeneo mengine yanakabiliwa na tatizo hilo kwa zaidi ya asilimia 50. Elias Msuya, Mwananchi Licha ya… Read more

Maria Mtili / 25 September 2017

Afya

/ Data

/ Habari

Magonjwa yanayoongoza kusababisha vifo Tanzania

Mikoa yafanya tathmini ya kudhibiti hali hiyo  Nuzulack Dausen na Jesse Mikofu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Mwanza/Dar. Magonjwa ya malaria, maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua, Ukimwi, upungufu wa damu na magonjwa ya moyo ni miongoni mwa… Read more

Nuzulack Dausen / 13 September 2017

Afya

Manyara yaongoza kwa ukeketaji Tanzania

Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Wakati ulimwengu ukiadhimisha wiki ya kutokomeza ukeketaji ulimwenguni, utafiti mpya umebaini idadi ya wanawake waliokeketwa inaendelea kupungua nchini kutoka asilimia 16 mwaka 1996 hadi asilimia… Read more

Nuzulack Dausen / 9 February 2017