Biashara

/ Makala

Usafirishwaji mizigo sekta ya anga nchini umeporomoka ndani ya miaka mitatu

Ephrahim Bahemu, Mwananchi, ebahemu@mwananchi.co.tz Takwimu za Mamlaka ya usafiri wa anga nchini (TCAA), zinaonyesha  kushuka kwa shehena inayosafirisha kutoka tani 32,410 mwaka 2012 hadi tani 30,022 mwaka 2015. Wakati takwimu hizo zikionyesha hivyo, usafishaji wa… Read more

Maria Mtili / 5 October 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

/ Mwananchi

Msongamano wa watu Tunduma waibua fursa zilizojificha Nyanda za Juu Kusini

Tunduma ina msongamano mkubwa wa watu kuliko halmashauri nyingine za mikoa ya Mbeya na Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa asema kama kuna mtu anajipanga kwenda Tunduma kufanya biashara za magendo… Read more

Nuzulack Dausen / 25 September 2017

Biashara

/ Makala

Kuorodhesha kampuni za mawasiliano, madini kutakuza soko la hisa na mitaji

Julius Mganga, Mwananchi ; jmathias@mwananchi.co.tz Kukiwa na zaidi ya watumiaji milioni 20 wa huduma za fedha na intaneti nchini, kampuni za mawasiliano zinapigana vikumbo kujiorodhesha Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE). Wataalam wa masoko… Read more

Maria Mtili / 31 August 2017

Biashara

/ Habari

Mapato ya hisa yashuka kwa asilimia 68

Ukubwa wa mtaji wa kampuni zilizoorodheshwa DSE umepanda kwa Sh300 bilioni Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Mapato yatokanayo na mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yameporomoka… Read more

Nuzulack Dausen / 11 August 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

Vyakula, kuimarika kwa sarafu vyashusha mfumuko wa bei

Dar/Zanzibar. Mfumuko wa bei kwa Julai umepungua hadi asilimia 5.2 kutoka 5.4, uliokuwapo Juni hali iliyochangiwa na kushuka kwa bei za vyakula. Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu… Read more

Nuzulack Dausen / 10 August 2017

Biashara

/ Data

/ Elimu

/ Mwananchi

Makato ya asilimia 15 yavunja historia ya makusanyo kwenye Bodi ya mikopo

Marejesho yaliyokusanywa ndani ya miezi tisa ni zaidi ya yaliyokusanywa miaka mitatu iliyopita Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Vigogo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)… Read more

Nuzulack Dausen / 16 May 2017

Biashara

/ Data

/ Makala

/ Mwananchi

Namna Serikali inavyoweza kuongeza viwanda vya bidhaa za mifugo

Tabora. Kasi ya kuongezeka kwa idadi ya mifugo nchini huenda isilete tija katika ukuzaji wa viwanda vya bidhaa za rasilimali hiyo iwapo uwekezaji kwenye miundombinu na utoaji elimu kwa wafugaji havitafanyika siku za karibuni. Ofisi… Read more

Nuzulack Dausen / 9 May 2017

Biashara

/ Makala

Miundombinu ya usafirishaji Ziwa Viktoria iimarishwe

Peter Saramba, Mwananchi; psaramba@mwananchi.co.tz Wajasiriamali wanaotaka kuwekeza katika sekta ya uchukuzi nchini wana fursa lukuki ndani ya Ziwa Viktoriabaada ya mahitaji ya usafiri wa majini kupaa wakati idadi ya meli kubwa ikizidi kupungua. Hadi… Read more

Nuzulack Dausen / 14 April 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

Uwanja wa Songwe fursa mpya kibiashara

Godfrey Kahango, Mwananchi gkahango@mwananchi.co.tz Mbeya. Miaka minne baada ya kuanza kutumika, Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Songwe (SIA) umeongeza wigo wa fursa za kibiashara na kurahisisha huduma za usafiri wa anga kwa wakazi wa… Read more

Nuzulack Dausen / 10 April 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

Bajeti ya maendeleo, serikali yatoa theluthi moja

Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz Dodoma. Miradi mingi ya maendeleo nchini huenda ikakwama kutokana na Serikali kutoa theluthi moja tu ya fedha zilizotengwa kwa ajili hiyo katika bajeti yake ya mwaka 2016/17. Kuchelewa kutolewa kwa… Read more

Nuzulack Dausen / 29 March 2017