Elimu

Umbumbumbu wa Hesabu, Kiingereza unavyotishia mustakabali wa elimu Tanzania

Wadau waishauri Serikali kuwekeza zaidi kwenye masomo hayo kusaidia uchumi wa viwanda ndausen@mwananchi.co.tz Msingi dhaifu wa masomo ya Hisabati na Kiingereza unazidi kudhoofisha elimu ya msingi nchini, jambo linalotishia mustakabali wa kuzalisha wataalamu bora… Read more

Nuzulack Dausen / 14 August 2017

Data

/ Elimu

Uhaba wa vyoo waitesa shule ya msingi iliyokaribu na Ikulu

Aurea Simtowe,Mwananchi asimtowe@mwananchi.co.tz Rooney* ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliobahatika kusoma shule za msingi za umma maarufu nchini. Kila asubuhi ya siku za wiki huamka na kuanza safari ya kwenda kutimiza ndoto za kielimu… Read more

Nuzulack Dausen / 27 July 2017

Biashara

/ Data

/ Elimu

/ Mwananchi

Makato ya asilimia 15 yavunja historia ya makusanyo kwenye Bodi ya mikopo

Marejesho yaliyokusanywa ndani ya miezi tisa ni zaidi ya yaliyokusanywa miaka mitatu iliyopita Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Vigogo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)… Read more

Nuzulack Dausen / 16 May 2017

Data

/ Elimu

Hali sasa ngumu mikopo ya elimu ya juu

  Wanafunzi saba kwa kila 10 waliiomba mwaka huu wamekosa. Tahliso yaomba Serikali iwahishe utoaji wa majina wanaostahili kupata mikopo ili kupunguza usumbufu. Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam/Dodoma. Wanafunzi wanaotegemea… Read more

Nuzulack Dausen / 15 May 2017

Elimu

Hii ndiyo tofauti ya walimu wa mijini na vijijini

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Muhula wa kwanza wa masomo mwaka 2017 umeanza, walimu wa vijijini wanaingia katika kipindi kingine cha kukabiliana na changamoto za kikazi tofauti na wenzao waliopo maeneo ya mijini. Pamoja na… Read more

Nuzulack Dausen / 1 February 2017

Elimu

Mgawanyo usio sawa wa walimu unachangia elimu kushuka

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Licha ya jitihada za Serikali kuongeza walimu wa shule za msingi katika miaka ya karibuni, maelfu ya wanafunzi vijijini huenda wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kufundishwa vipindi vyote, kutokana na… Read more

Nuzulack Dausen / 31 January 2017

Elimu

Kuna uhaba mkubwa wa walimu shule za msingi za umma

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Wakati shule za msingi zikimaliza mwezi wa kwanza katika muhula mpya wa masomo wa 2017, walimu kutoka nusu ya shule za umma nchini watalazimika kufundisha idadi ya… Read more

Nuzulack Dausen / 30 January 2017