Afya

/ Data

/ Habari

Tanzania yakabiliwa na upungufu wa wataalamu dawa za usingizi

Waliopo ni asilimia 1.2 tu ya mahitaji yote ya madaktari hao muhimu katika utoaji huduma za upasuaji Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz Dar es Saalam. Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa dawa za usingizi,… Read more

Maria Mtili / 4 October 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

/ Mwananchi

Msongamano wa watu Tunduma waibua fursa zilizojificha Nyanda za Juu Kusini

Tunduma ina msongamano mkubwa wa watu kuliko halmashauri nyingine za mikoa ya Mbeya na Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa asema kama kuna mtu anajipanga kwenda Tunduma kufanya biashara za magendo… Read more

Nuzulack Dausen / 25 September 2017

Afya

/ Data

/ Habari

Magonjwa yanayoongoza kusababisha vifo Tanzania

Mikoa yafanya tathmini ya kudhibiti hali hiyo  Nuzulack Dausen na Jesse Mikofu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Mwanza/Dar. Magonjwa ya malaria, maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua, Ukimwi, upungufu wa damu na magonjwa ya moyo ni miongoni mwa… Read more

Nuzulack Dausen / 13 September 2017

Data

/ Habari

/ Mwananchi

Halmashauri zenye madeni makubwa zamshtua CAG

*Wachambuzi wasema iwapo halmashauri zitachelewa kuyalipa yataiongezea Serikali hasara ndausen@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Manispaa tatu zilizopo Dar es Salaam za Temeke, Kinondoni na Ilala ni miongoni mwa halmashauri tano zinazodaiwa madeni makubwa nchini jambo… Read more

Nuzulack Dausen / 12 September 2017

Habari

Muda wa kumuona daktari vituo vya afya waimarika kiduchu

Utafiti wa Twaweza unabainisha idadi ya wananchi wanaosubiri kumuona daktari kwa zaidi ya saa moja imeshuka. Dar es Salaam. Kuna dalili za kupungua muda wa wagonjwa kumuona daktari baada ya utafiti kuonyesha wale waliokuwa wakisubiri kwa… Read more

Maria Mtili / 30 August 2017

Data

/ Habari

/ Makala

Jinamizi la talaka linavyotafuna ndoa za Watanzania

*Kiwango cha talaka kimeongezeka mara mbili Tanzania ndani ya miaka sita kiasi cha kutishia mustakabali wa taasisi hiyo muhimu. ndausen@mwananchi.co.tz Ndoto za wanandoa wengi wanapooana huwa ni kuishi pamoja hadi kifo kinapowatenganisha. Vivyo hivyo, wazazi… Read more

Nuzulack Dausen / 21 August 2017

Biashara

/ Habari

Mapato ya hisa yashuka kwa asilimia 68

Ukubwa wa mtaji wa kampuni zilizoorodheshwa DSE umepanda kwa Sh300 bilioni Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Mapato yatokanayo na mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yameporomoka… Read more

Nuzulack Dausen / 11 August 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

Vyakula, kuimarika kwa sarafu vyashusha mfumuko wa bei

Dar/Zanzibar. Mfumuko wa bei kwa Julai umepungua hadi asilimia 5.2 kutoka 5.4, uliokuwapo Juni hali iliyochangiwa na kushuka kwa bei za vyakula. Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu… Read more

Nuzulack Dausen / 10 August 2017

Data

/ Habari

/ Mwananchi

Shirika la jeshi kupanua wigo wake

Dodoma. Shirika la Mzinga limeanda mkakati unaokusudia kupanua wigo wa uzalishaji wa mazao ya kijeshi. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amesema hayo leo wakati akiwasilisha hotuba yake ya… Read more

Nuzulack Dausen / 23 May 2017

Data

/ Habari

/ Mwananchi

Bajeti ‘kiduchu’ ya maji yaibua mjadala mzito bungeni Tanzania

Sharon Sauwa, Mwananchi; ssauwa@mwananchi.co.tz Dodoma. Kilio cha kutaka maji safi kilichosikika nchi nzima wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, kilijiwa kwa ahadi kemkem na jana kilipazwa na wabunge baada ya Wizara ya Maji na… Read more

Nuzulack Dausen / 12 May 2017