Category: Mwananchi
Yanayofahamika kuhusu ukuaji wa elimu ya msingi Tanzania
Kuna mafanikio makubwa katika uandikishaji wa wanafunzi. Bado serikali inatakiwa kuwekeza katika njia madhubuti zitakazowasaidia watoto kujifunza [email protected] Dar es Salaam. Baada ya kuporomoka kwa kasi miaka minne iliyopita, ufaulu wa mtihani wa… Read more
Nuzulack Dausen /5 December 2017
Zaidi ya nusu ya wenye VVU Tanzania virusi vyao vyafubazwa
• Utafiti huo unaonyesha matumaini katika kufikia malengo 90-90-90 ifikapo mwaka 2020. • Watu wenye VVU waitaka Serikali itunge sheria ya ARVs. • Wataalamu wa afya wanasema ufubazaji wa VVU unaongeza muda wa… Read more
Nuzulack Dausen /1 December 2017
Mwanafunzi aliyejifungulia chooni Geita alivyoibua mjadala wa kuwalinda watoto wa kike
Mkoa huo pia ndiyo unaongoza kwa wanafunzi wengi kuacha masomo elimu ya msingi. [email protected] Dar es Salaam. Sophia Mlehela, mkazi wa kata ya Ibondo mkoani Geita anajuta kwa kukaa mbali na mwanaye na… Read more
Nuzulack Dausen /21 November 2017
Wivu wa mapenzi wawamaliza Dodoma idadi ya visa vya mauaji ikipungua
• Ripoti ya uhalifu na makosa ya barabarani ya mwaka 2016 inaonyesha sehemu kubwa ya mauaji yaliyotokea mwaka jana mkoani Dodoma yalisababishwa na wivu. • Sehemu kubwa ya wakazi wa Tabora waliuawa mwaka jana… Read more
Nuzulack Dausen /10 November 2017
/Data
Unaweza kutumia haya kupima ukuaji uchumi wa miaka miwili ya JPM
Serikali ya Rais Magufuli ambayo imetimiza miaka miwili madarakani, inahitaji kuwekeza kwa kasi kukuza uchumi wa kitaifa ili kuwanufaisha watu wengi Mwananchi [email protected] Rais John Magufuli amemaliza miaka miwili tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tano… Read more
Nuzulack Dausen /6 November 2017