Data

/Elimu

/Makala

Watoto yatima wanavyofaidi fursa za elimu

Ni wale wanaotoka katika mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi yatima Nuzulack Dausen, Mwananchi [email protected] Katika kipindi ambacho baadhi ya watoto wenye wazazi wote wakideka na kupata… Read more

Maria Mtili /14 November 2017

Elimu

Umbumbumbu wa Hesabu, Kiingereza unavyotishia mustakabali wa elimu Tanzania

Wadau waishauri Serikali kuwekeza zaidi kwenye masomo hayo kusaidia uchumi wa viwanda [email protected] Msingi dhaifu wa masomo ya Hisabati na Kiingereza unazidi kudhoofisha elimu ya msingi nchini, jambo linalotishia mustakabali wa kuzalisha wataalamu bora… Read more

Nuzulack Dausen /14 August 2017

Data

/Elimu

Uhaba wa vyoo waitesa shule ya msingi iliyokaribu na Ikulu

Aurea Simtowe,Mwananchi [email protected] Rooney* ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliobahatika kusoma shule za msingi za umma maarufu nchini. Kila asubuhi ya siku za wiki huamka na kuanza safari ya kwenda kutimiza ndoto za kielimu… Read more

Nuzulack Dausen /27 July 2017

Biashara

/Data

/Elimu

/Mwananchi

Makato ya asilimia 15 yavunja historia ya makusanyo kwenye Bodi ya mikopo

Marejesho yaliyokusanywa ndani ya miezi tisa ni zaidi ya yaliyokusanywa miaka mitatu iliyopita Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Vigogo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)… Read more

Nuzulack Dausen /16 May 2017

Data

/Elimu

Hali sasa ngumu mikopo ya elimu ya juu

  Wanafunzi saba kwa kila 10 waliiomba mwaka huu wamekosa. Tahliso yaomba Serikali iwahishe utoaji wa majina wanaostahili kupata mikopo ili kupunguza usumbufu. Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam/Dodoma. Wanafunzi wanaotegemea… Read more

Nuzulack Dausen /15 May 2017