Data

/Makala

Namna idadi ya wanaosusa ving’amuzi ilivyoongezeka kwa kasi

Asilimia 29.4 ya waliokuwa wamenunua ving’amuzi mwaka jana walikuwa hawavitumii ikilinganishwa na asilimia sifuri mwaka 2014 Prosper Kaijage, Mwananchi; [email protected] Takribani theluthi moja ya watumiaji wa ving’amuzi nchini hawavitumii tena vifaa hivyo kutazama luninga, kiwango… Read more

Maria Mtili /13 December 2017

Afya

/Data

/Makala

Vifo vya watoto njiti pasua kichwa Afrika Mashariki

Herieth Makwetta, Mwananchi Wakati nchi zinazoendelea zikipambana na vifo vya wajawazito, makumi ya watoto njiti wanafariki kila siku katika hospitali na vituo vya afya vilivyopo maeneo mbalimbali Tanzania, Uganda na nchini Kenya. Ripoti iliyochapishwa 2012… Read more

Maria Mtili /12 December 2017

Data

/Elimu

/Makala

Watoto yatima wanavyofaidi fursa za elimu

Ni wale wanaotoka katika mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi yatima Nuzulack Dausen, Mwananchi [email protected] Katika kipindi ambacho baadhi ya watoto wenye wazazi wote wakideka na kupata… Read more

Maria Mtili /14 November 2017

Biashara

/Data

/Makala

/Mwananchi

Unaweza kutumia haya kupima ukuaji uchumi wa miaka miwili ya JPM

Serikali ya Rais Magufuli ambayo imetimiza miaka miwili madarakani, inahitaji kuwekeza kwa kasi kukuza uchumi wa kitaifa ili kuwanufaisha watu wengi Mwananchi [email protected] Rais John Magufuli amemaliza miaka miwili tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tano… Read more

Nuzulack Dausen /6 November 2017

Biashara

/Data

/Makala

Maeneo 10 ya kutazamwa kufanikisha ukusanyaji mapato ya serikali

5 tri: Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha uliopita. Kati ya trilioni hizo, utekelezaji haukufika nusu. 10%: Kiwango ambacho Serikali ilishindwa kukusanya kutoka ndani. Sh17t: Kiasi ambacho TRA inapaswa kukusanya mwaka huu wa fedha. Read more

Maria Mtili /26 October 2017