Category: Biashara
/Data
Unaweza kutumia haya kupima ukuaji uchumi wa miaka miwili ya JPM
Serikali ya Rais Magufuli ambayo imetimiza miaka miwili madarakani, inahitaji kuwekeza kwa kasi kukuza uchumi wa kitaifa ili kuwanufaisha watu wengi Mwananchi [email protected] Rais John Magufuli amemaliza miaka miwili tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tano… Read more
Nuzulack Dausen /6 November 2017
/Data
Maeneo 10 ya kutazamwa kufanikisha ukusanyaji mapato ya serikali
5 tri: Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha uliopita. Kati ya trilioni hizo, utekelezaji haukufika nusu. 10%: Kiwango ambacho Serikali ilishindwa kukusanya kutoka ndani. Sh17t: Kiasi ambacho TRA inapaswa kukusanya mwaka huu wa fedha. Read more
Maria Mtili /26 October 2017
/Data
Wabunifu wa sayansi, teknolojia watamaliza tatizo la ajira nchini
Julius Mnganga, Mwananchi ; [email protected] Kujenga uchumi imara kwa zama za leo, Benki ya Dunia inashauri kuwekeza kwenye ubunifu wa kisayansi. Kwenye ripoti ya mwaka ya tathmini ya ubunifu katika sayansi na teknolojia ijulikanayo kama… Read more
Maria Mtili /19 October 2017
Usafirishwaji mizigo sekta ya anga nchini umeporomoka ndani ya miaka mitatu
Ephrahim Bahemu, Mwananchi, [email protected] Takwimu za Mamlaka ya usafiri wa anga nchini (TCAA), zinaonyesha kushuka kwa shehena inayosafirisha kutoka tani 32,410 mwaka 2012 hadi tani 30,022 mwaka 2015. Wakati takwimu hizo zikionyesha hivyo, usafishaji wa… Read more
Maria Mtili /5 October 2017
/Data
Msongamano wa watu Tunduma waibua fursa zilizojificha Nyanda za Juu Kusini
Tunduma ina msongamano mkubwa wa watu kuliko halmashauri nyingine za mikoa ya Mbeya na Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa asema kama kuna mtu anajipanga kwenda Tunduma kufanya biashara za magendo… Read more
Nuzulack Dausen /25 September 2017