Category: Habari
/Data
Tanzania yakabiliwa na upungufu wa wataalamu dawa za usingizi
Waliopo ni asilimia 1.2 tu ya mahitaji yote ya madaktari hao muhimu katika utoaji huduma za upasuaji Herieth Makwetta, Mwananchi [email protected] Dar es Saalam. Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa dawa za usingizi,… Read more
Maria Mtili /4 October 2017
/Data
Msongamano wa watu Tunduma waibua fursa zilizojificha Nyanda za Juu Kusini
Tunduma ina msongamano mkubwa wa watu kuliko halmashauri nyingine za mikoa ya Mbeya na Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa asema kama kuna mtu anajipanga kwenda Tunduma kufanya biashara za magendo… Read more
Nuzulack Dausen /25 September 2017
/Data
Magonjwa yanayoongoza kusababisha vifo Tanzania
Mikoa yafanya tathmini ya kudhibiti hali hiyo Nuzulack Dausen na Jesse Mikofu, Mwananchi [email protected] Mwanza/Dar. Magonjwa ya malaria, maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua, Ukimwi, upungufu wa damu na magonjwa ya moyo ni miongoni mwa… Read more
Nuzulack Dausen /13 September 2017
Halmashauri zenye madeni makubwa zamshtua CAG
*Wachambuzi wasema iwapo halmashauri zitachelewa kuyalipa yataiongezea Serikali hasara [email protected] Dar es Salaam. Manispaa tatu zilizopo Dar es Salaam za Temeke, Kinondoni na Ilala ni miongoni mwa halmashauri tano zinazodaiwa madeni makubwa nchini jambo… Read more
Nuzulack Dausen /12 September 2017
Muda wa kumuona daktari vituo vya afya waimarika kiduchu
Utafiti wa Twaweza unabainisha idadi ya wananchi wanaosubiri kumuona daktari kwa zaidi ya saa moja imeshuka. Dar es Salaam. Kuna dalili za kupungua muda wa wagonjwa kumuona daktari baada ya utafiti kuonyesha wale waliokuwa wakisubiri kwa… Read more
Maria Mtili /30 August 2017