Elimu

Mgawanyo usio sawa wa walimu unachangia elimu kushuka

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Licha ya jitihada za Serikali kuongeza walimu wa shule za msingi katika miaka ya karibuni, maelfu ya wanafunzi vijijini huenda wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kufundishwa vipindi vyote, kutokana na… Read more

Nuzulack Dausen /31 January 2017

Elimu

Kuna uhaba mkubwa wa walimu shule za msingi za umma

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Wakati shule za msingi zikimaliza mwezi wa kwanza katika muhula mpya wa masomo wa 2017, walimu kutoka nusu ya shule za umma nchini watalazimika kufundisha idadi ya… Read more

Nuzulack Dausen /30 January 2017

Habari

/Siasa

Transparency International: Ufisadi waanza kupungua Tanzania

Vita dhidi ya ufisadi inayoongozwa na Rais John Magufuli imesaidia Tanzania kupaa kwa alama mbili katika viwango vya mapambano ya rushwa ulimwenguni ikiwa ni mwaka mmoja tangu aingie madarakani. Ripoti mpya ya hali rushwa duniani… Read more

Nuzulack Dausen /26 January 2017

Michezo

Mapro wa Ligi Kuu Tanzania washindwa kuthibitisha ubora wao kombe la AFCON

Fredrick Nwaka Dar es Salaam. Licha ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu kupokea wachezaji wengi wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali Afrika, Mapro hao wameshindwa kuthibitisha ubora wao baada sehemu kubwa kutoswa na vikosi vyao vya Taifa… Read more

Nuzulack Dausen /6 January 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania