Siri ya wanawake kuchemka riadha
*Ni wanawake 23 tu walioshiriki mashindano ya kimataifa kwa miaka 20 kati ya wanariadha 130 Imani Makongoro, Mwananchi [email protected] Singida. Wakati Kamati ya Olimpiki Afrika (ANOCA) ikijizatiti kuhakikisha ifikapo 2030 ushiriki wa wanawake katika… Read more
Nuzulack Dausen /23 April 2017
Miundombinu ya usafirishaji Ziwa Viktoria iimarishwe
Peter Saramba, Mwananchi; [email protected] Wajasiriamali wanaotaka kuwekeza katika sekta ya uchukuzi nchini wana fursa lukuki ndani ya Ziwa Viktoriabaada ya mahitaji ya usafiri wa majini kupaa wakati idadi ya meli kubwa ikizidi kupungua. Hadi… Read more
Nuzulack Dausen /14 April 2017
Jinsi Magufuli alivyowakimbiza majangili
Mussa Juma, Mwananchi; [email protected] Serengeti. Vita dhidi ya ujangili iliyokolezwa na Rais John Magufuli imeanza kuzaa matunda baada ya matukio ya ujangili kupungua kwa kasi, sambamba na nyara zinazokamatwa, kitu kinachopashiria ufanisi katika kupambana… Read more
Nuzulack Dausen /11 April 2017
/Data
Uwanja wa Songwe fursa mpya kibiashara
Godfrey Kahango, Mwananchi [email protected] Mbeya. Miaka minne baada ya kuanza kutumika, Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Songwe (SIA) umeongeza wigo wa fursa za kibiashara na kurahisisha huduma za usafiri wa anga kwa wakazi wa… Read more
Nuzulack Dausen /10 April 2017
Unataka kujua uchumi unaendeleaje? Wiki hii si ya kukosa
[email protected] Siyo wiki ya kukosa. Kama wewe hupenda kufahamu mwenendo wa uchumi na maendeleo ya nchini basi wiki ijayo inayoanzia Aprili 10, 2017 haupaswi kukaa mbali na vyanzo vya taarifa mbalimbali nchini. Ni wiki… Read more
Nuzulack Dausen /7 April 2017