Mwananchi

Mauzo ya hisa yaporomoka DSE

[email protected] Hali haikuwa nzuri sana katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyopita baada ya mauzo ya hisa kushuka takriban mara nne kutoka Sh5 bilioni hadi Sh1.3 bilioni wiki iliyopita… Read more

Nuzulack Dausen /13 March 2017

Michezo

Yanga, Zanaco zinavyoisubiri mechi ya kisasi

Fredrick Nwaka, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Yanga na Zanaco utakaopigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam utakuwa wa kisasi kwa Yanga ambayo… Read more

Nuzulack Dausen /9 March 2017

Biashara

Watumiaji wa simu benki waongezeka Tanzania

[email protected] Dar es Salaam. Idadi ya watumiaji wa huduma za kifedha kwa kutumia simu za mkononi imepaa kwa akaunti zaidi ya 400,000 ndani ya mwaka mmoja  jambo linaloonyesha mwenendo chanya wa sekta hiyo. Mbali na… Read more

Nuzulack Dausen /28 February 2017

Afya

Manyara yaongoza kwa ukeketaji Tanzania

Herieth Makwetta, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Wakati ulimwengu ukiadhimisha wiki ya kutokomeza ukeketaji ulimwenguni, utafiti mpya umebaini idadi ya wanawake waliokeketwa inaendelea kupungua nchini kutoka asilimia 16 mwaka 1996 hadi asilimia… Read more

Nuzulack Dausen /9 February 2017

Elimu

Hii ndiyo tofauti ya walimu wa mijini na vijijini

Saumu Mwalimu na Nuzulack Dausen Muhula wa kwanza wa masomo mwaka 2017 umeanza, walimu wa vijijini wanaingia katika kipindi kingine cha kukabiliana na changamoto za kikazi tofauti na wenzao waliopo maeneo ya mijini. Pamoja na… Read more

Nuzulack Dausen /1 February 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania