Dk Kafumu atahadharisha kuzuia mchanga kwenda nje
Kelvin Matandiko, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Mbunge wa Igunga, Dk Dalaly Kafumu amesema uamuzi wa kupiga marufuku usafirishaji mchanga nje umekuwa wa haraka na unaweza kuipotezea nchi mapato. Pia, ameitaka Serikali kuacha… Read more
Nuzulack Dausen /3 April 2017
Aibu: Riadha miaka 20 medali saba tu
Imani Makongoro, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Kwa takriban miaka 20 sasa, Tanzania imekuwa ikisuasua katika riadha, licha ya Shirikisho la Riadha nchini (RT) kupeleka timu kwenye mashindano mbalimbali ya kimataifa ikiwemo Michezo ya… Read more
Nuzulack Dausen /29 March 2017
/Data
Bajeti ya maendeleo, serikali yatoa theluthi moja
Sharon Sauwa, Mwananchi [email protected] Dodoma. Miradi mingi ya maendeleo nchini huenda ikakwama kutokana na Serikali kutoa theluthi moja tu ya fedha zilizotengwa kwa ajili hiyo katika bajeti yake ya mwaka 2016/17. Kuchelewa kutolewa kwa… Read more
Nuzulack Dausen /29 March 2017
Uhaba wa meli Ziwa Victoria warudisha nyuma maendeleo Kanda ya Ziwa
Peter Saramba, Mwananchi [email protected] Mwanza. Huduma za uchukuzi ndani ya Ziwa Victoria zinaendelea kuzorota mwaka hadi mwaka licha ya mahitaji ya kusafirisha abiria na mizigo kupaa. Wakati Bandari ya Kanda ya Ziwa inaanzishwa mwaka 2006,… Read more
Nuzulack Dausen /27 March 2017
Mfumo mpya wa uuzaji korosho ulivyoleta pesa tele katikati ya malalamiko
Reginald Miruko, Mwananchi [email protected] Mtwara. Msimu wa korosho ulioshia Februari mwaka huu katika mikoa ya Lindi na Mtwara huenda ukawa ni msimu bora kuliko yote kwa wakulima baada ya mauzo yao kupaa kwa zaidi… Read more
Nuzulack Dausen /16 March 2017