Afya

/Data

/Makala

Uhaba wa maji unavyowatesa wanawake wilayani Nachingwea

Sehemu kubwa hutembea umbali mrefu na kupoteza muda wa kufanya shughuli za maendeleo Hawajawahi kuona maji ya bomba au ya kisima cha pampu yakitoka karibu na makazi yao katika maisha yao yote. Wale wachache waliobahatika… Read more

Nuzulack Dausen /5 October 2017

Biashara

/Makala

Usafirishwaji mizigo sekta ya anga nchini umeporomoka ndani ya miaka mitatu

Ephrahim Bahemu, Mwananchi, [email protected] Takwimu za Mamlaka ya usafiri wa anga nchini (TCAA), zinaonyesha  kushuka kwa shehena inayosafirisha kutoka tani 32,410 mwaka 2012 hadi tani 30,022 mwaka 2015. Wakati takwimu hizo zikionyesha hivyo, usafishaji wa… Read more

Maria Mtili /5 October 2017

Mwananchi

Utoro wa walimu wapoteza nusu ya muda wa masomo Tanzania

Ripoti ya Benki ya Dunia yabainisha kuwa robo tatu ya watoto wa darasa la tatu Tanzania, Uganda na Kenya walishindwa kuelewa jina la mbwa baada ya kusomewa na wenzao kwa Kiingereza. Walimu Tanzania wanatumia asilimia… Read more

Nuzulack Dausen /5 October 2017

Afya

/Data

/Makala

Uhaba wa maji safi na salama unavyotishia maisha ya wanavijiji wilayani Nachingwea

Nuzulack Dausen, Mwananchi [email protected] Takriban mita 700 kusini mwa barabara ya Nachingwea-Liwale pembezoni mwa kisima kifupi cha wazi katika Kijiji cha Lionja B, Severine Conrad (16) anakunywa maji kwa kutumia kidumu kidogo cha lita tatu… Read more

Nuzulack Dausen /4 October 2017

Data

/Michezo

Simba, Yanga zaibeba Dar

Jiji la Dar es Salaam linaongoza kwa kuwa na timu nyingi zaidi zilizopo katika mashindano yanayotambuliwa na TFF Charles Abel, Mwananchi , [email protected] Dar es Salaam. Kama Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lisipochukua hatua za… Read more

Maria Mtili /4 October 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania