Afya

/Data

/Habari

Tanzania yakabiliwa na upungufu wa wataalamu dawa za usingizi

Waliopo ni asilimia 1.2 tu ya mahitaji yote ya madaktari hao muhimu katika utoaji huduma za upasuaji Herieth Makwetta, Mwananchi [email protected] Dar es Saalam. Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa dawa za usingizi,… Read more

Maria Mtili /4 October 2017

Afya

/Data

/Makala

Ufuatiliaji unavyoweza kudhibiti ‘vifo’ vya miradi ya maji vijijini

Maeneo mengi yenye miradi iliyokufa wananchi wake wanachota maji katika vyanzo visivyo safi na salama Nuzulack Dausen, Mwananchi; [email protected] Zaidi ya mwaka mmoja sasa wananchi wa vijiji vya Namikango A, Nangunde na Namikango B hawana… Read more

Maria Mtili /2 October 2017

Mwananchi

Sababu za CAG kuiagiza Serikali iwadhibiti wafanyakazi wenye mikopo lukuki

CAG abaini watumishi wa umma 789 wa halmashauri mbalimbali nchini wanaokatwa sehemu kubwa ya mishahara yao kiasi cha kupunguza ufanisi kazini. Azitaka halmashauri kutoidhinisha mikopo inayozidi theluthi mbili ya mishahara yao. Mkurugenzi wa Manispaa ya… Read more

Nuzulack Dausen /28 September 2017

Data

/Michezo

Uwanja wa Uhuru waokoa ligi za TFF

Uwanja wa Uhuru umefanyiwa marekebisha na kuruhusiwa kutumika kwa michezo kadhaa na unaonekana kuwa msaada Charles Abel, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uwanja wa Uhuru umeandika rekodi mpya ya kuwa uwanja… Read more

Maria Mtili /28 September 2017

Biashara

/Data

/Habari

/Mwananchi

Msongamano wa watu Tunduma waibua fursa zilizojificha Nyanda za Juu Kusini

Tunduma ina msongamano mkubwa wa watu kuliko halmashauri nyingine za mikoa ya Mbeya na Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa asema kama kuna mtu anajipanga kwenda Tunduma kufanya biashara za magendo… Read more

Nuzulack Dausen /25 September 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania