Biashara

/ Habari

Mapato ya hisa yashuka kwa asilimia 68

Ukubwa wa mtaji wa kampuni zilizoorodheshwa DSE umepanda kwa Sh300 bilioni Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Mapato yatokanayo na mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yameporomoka… Read more

Nuzulack Dausen / 11 August 2017

Biashara

/ Data

/ Habari

Vyakula, kuimarika kwa sarafu vyashusha mfumuko wa bei

Dar/Zanzibar. Mfumuko wa bei kwa Julai umepungua hadi asilimia 5.2 kutoka 5.4, uliokuwapo Juni hali iliyochangiwa na kushuka kwa bei za vyakula. Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu… Read more

Nuzulack Dausen / 10 August 2017

Data

/ Elimu

Uhaba wa vyoo waitesa shule ya msingi iliyokaribu na Ikulu

Aurea Simtowe,Mwananchi asimtowe@mwananchi.co.tz Rooney* ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliobahatika kusoma shule za msingi za umma maarufu nchini. Kila asubuhi ya siku za wiki huamka na kuanza safari ya kwenda kutimiza ndoto za kielimu… Read more

Nuzulack Dausen / 27 July 2017

Mwananchi

Mbeya, Tabora zilivyoukalia utajiri wa kuku wa kienyeji

Mikoa hiyo ina kuku wengi wa kienyeji kiasi cha kuwa kitovu cha wachuuzi wa bidhaa hiyo. ndausen@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Kwa wakazi wengi wa Dar es Salaam wakisikia kuku wa kienyeji wazo la kwanza… Read more

Nuzulack Dausen / 21 July 2017

Mwananchi

Misukosuko ya karafuu yapunguza mabilioni ya mauzo ya nje Zanzibar

ndausen@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Misukosuko inayoikabili karafuu katika uzalishaji na bei katika soko la Dunia ni miongoni mwa sababu zilizofanya thamani ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi kushuka kwa kasi Zanzibar jambo linalopunguza… Read more

Nuzulack Dausen / 4 July 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania

1 Shares
Share1
Tweet
Share
Email
WhatsApp