Mwananchi

Ripoti: Uchoyo waanza kuwaandama Watanzania

*Ni rahisi kwa Watanzania kukupatia fedha lakini siyo kupoteza muda kukuhudumia kama una shida [email protected] Dar es Salaam. Tanzania imeporomoka nafasi sita katika utafiti wa ukarimu duniani ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kufanya… Read more

Nuzulack Dausen /11 September 2017

Mwananchi

Hii ndiyo siri ya utofauti wa kipato kati ya wanaume na wanawake Tanzania

  *Wanaume wanapata kipato kikubwa, asilimia 11 zaidi ya kile wanachopata wanawake nchini [email protected] Dar es Salaam. Licha ya kipato cha mfanyakazi kwa mwezi kuongezeka nchini bado kuna mwanya mkubwa wa kimapato kijinsia baada ya… Read more

Nuzulack Dausen /10 September 2017

Mwananchi

Kiwango kikubwa cha wajawazito wenye VVU Mbarali, Kyela chaamsha vita mpya dhidi ya Ukimwi

*Madaktari washauri Watanzania kuendelea kujikinga na ugonjwa huo hatari duniani. [email protected] Dar es Salaam. Licha ya kuwepo kampeni lukuki za kukabiliana na Ukimwi, wilaya za Mbarali na Kyela zinaongoza kwa kuwa na viwango vikubwa vya… Read more

Nuzulack Dausen /3 September 2017

Biashara

/Makala

Kuorodhesha kampuni za mawasiliano, madini kutakuza soko la hisa na mitaji

Julius Mganga, Mwananchi ; [email protected] Kukiwa na zaidi ya watumiaji milioni 20 wa huduma za fedha na intaneti nchini, kampuni za mawasiliano zinapigana vikumbo kujiorodhesha Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE). Wataalam wa masoko… Read more

Maria Mtili /31 August 2017

Habari

Muda wa kumuona daktari vituo vya afya waimarika kiduchu

Utafiti wa Twaweza unabainisha idadi ya wananchi wanaosubiri kumuona daktari kwa zaidi ya saa moja imeshuka. Dar es Salaam. Kuna dalili za kupungua muda wa wagonjwa kumuona daktari baada ya utafiti kuonyesha wale waliokuwa wakisubiri kwa… Read more

Maria Mtili /30 August 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania