Data

/Elimu

/Makala

Watoto yatima wanavyofaidi fursa za elimu

Ni wale wanaotoka katika mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi yatima Nuzulack Dausen, Mwananchi [email protected] Katika kipindi ambacho baadhi ya watoto wenye wazazi wote wakideka na kupata… Read more

Maria Mtili /14 November 2017

Mwananchi

Wivu wa mapenzi wawamaliza Dodoma idadi ya visa vya mauaji ikipungua

• Ripoti ya uhalifu na makosa ya barabarani ya mwaka 2016 inaonyesha sehemu kubwa ya mauaji yaliyotokea mwaka jana mkoani Dodoma yalisababishwa na wivu. • Sehemu kubwa ya wakazi wa Tabora waliuawa mwaka jana… Read more

Nuzulack Dausen /10 November 2017

Biashara

/Data

/Makala

/Mwananchi

Unaweza kutumia haya kupima ukuaji uchumi wa miaka miwili ya JPM

Serikali ya Rais Magufuli ambayo imetimiza miaka miwili madarakani, inahitaji kuwekeza kwa kasi kukuza uchumi wa kitaifa ili kuwanufaisha watu wengi Mwananchi [email protected] Rais John Magufuli amemaliza miaka miwili tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tano… Read more

Nuzulack Dausen /6 November 2017

Mwananchi

Utoaji chanjo ya tetenasi kwa wajawazito washuka

Kiwango cha wajawazito waliopata chanjo hiyo mwaka 2014 kilipungua hadi asilimia 72 kutoka asilimia 85 mwaka 2013. Wataalamu wa afya wanasema chanjo hiyo ni muhimu kuzuia madhara ya kutu kuingia kwenye mzunguko wa damu. [email protected]Read more

Nuzulack Dausen /31 October 2017

Biashara

/Data

/Makala

Maeneo 10 ya kutazamwa kufanikisha ukusanyaji mapato ya serikali

5 tri: Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha uliopita. Kati ya trilioni hizo, utekelezaji haukufika nusu. 10%: Kiwango ambacho Serikali ilishindwa kukusanya kutoka ndani. Sh17t: Kiasi ambacho TRA inapaswa kukusanya mwaka huu wa fedha. Read more

Maria Mtili /26 October 2017

MWANANCHIDataLab by Code for Tanzania