Uhaba wa vyoo waitesa shule ya msingi iliyokaribu na Ikulu
Aurea Simtowe,Mwananchi [email protected] Rooney* ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliobahatika kusoma shule za msingi za umma maarufu nchini. Kila asubuhi ya siku za wiki huamka na kuanza safari ya kwenda kutimiza ndoto za kielimu… Read more
Nuzulack Dausen /27 July 2017
Mbeya, Tabora zilivyoukalia utajiri wa kuku wa kienyeji
Mikoa hiyo ina kuku wengi wa kienyeji kiasi cha kuwa kitovu cha wachuuzi wa bidhaa hiyo. [email protected] Dar es Salaam. Kwa wakazi wengi wa Dar es Salaam wakisikia kuku wa kienyeji wazo la kwanza… Read more
Nuzulack Dausen /21 July 2017
Misukosuko ya karafuu yapunguza mabilioni ya mauzo ya nje Zanzibar
[email protected] Dar es Salaam. Misukosuko inayoikabili karafuu katika uzalishaji na bei katika soko la Dunia ni miongoni mwa sababu zilizofanya thamani ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi kushuka kwa kasi Zanzibar jambo linalopunguza… Read more
Nuzulack Dausen /4 July 2017
Je, Serikali ilimpendelea Dangote makaa ya mawe?
MSIMAMO WA SERIKALI: Serikali imesema ipo tayari kuwapa wawekezaji wengine upendeleo katika nishati iwapo wanahitaji. Elias Msuya, Mwananchi; [email protected] Je, Serikali ilimpendelea au haikumpendelea bilionea Aliko Dangote kumpa mgodi wa makaa ya mawe? Hayo ni… Read more
Nuzulack Dausen /24 May 2017
Shirika la jeshi kupanua wigo wake
Dodoma. Shirika la Mzinga limeanda mkakati unaokusudia kupanua wigo wa uzalishaji wa mazao ya kijeshi. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amesema hayo leo wakati akiwasilisha hotuba yake ya… Read more
Nuzulack Dausen /23 May 2017