Ugonjwa wa kuhara unavyowatesa Watanzania kimya kimya
* Wataalamu wa afya wanasema unaweza kutokomezwa kwa kuzingatia usafi wa mazingira [email protected] Dar es Salaam. Japo hautajwi mara kwa mara kama Malaria na Ukimwi, ugonjwa wa kuhara ni miongoni mwa magonjwa yanayoendelea kuwatesa… Read more
Nuzulack Dausen /26 August 2017
Jinamizi la talaka linavyotafuna ndoa za Watanzania
*Kiwango cha talaka kimeongezeka mara mbili Tanzania ndani ya miaka sita kiasi cha kutishia mustakabali wa taasisi hiyo muhimu. [email protected] Ndoto za wanandoa wengi wanapooana huwa ni kuishi pamoja hadi kifo kinapowatenganisha. Vivyo hivyo, wazazi… Read more
Nuzulack Dausen /21 August 2017
Umbumbumbu wa Hesabu, Kiingereza unavyotishia mustakabali wa elimu Tanzania
Wadau waishauri Serikali kuwekeza zaidi kwenye masomo hayo kusaidia uchumi wa viwanda [email protected] Msingi dhaifu wa masomo ya Hisabati na Kiingereza unazidi kudhoofisha elimu ya msingi nchini, jambo linalotishia mustakabali wa kuzalisha wataalamu bora… Read more
Nuzulack Dausen /14 August 2017
Mapato ya hisa yashuka kwa asilimia 68
Ukubwa wa mtaji wa kampuni zilizoorodheshwa DSE umepanda kwa Sh300 bilioni Ephrahim Bahemu, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Mapato yatokanayo na mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yameporomoka… Read more
Nuzulack Dausen /11 August 2017
/Data
Vyakula, kuimarika kwa sarafu vyashusha mfumuko wa bei
Dar/Zanzibar. Mfumuko wa bei kwa Julai umepungua hadi asilimia 5.2 kutoka 5.4, uliokuwapo Juni hali iliyochangiwa na kushuka kwa bei za vyakula. Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu… Read more
Nuzulack Dausen /10 August 2017