/Data
Makato ya asilimia 15 yavunja historia ya makusanyo kwenye Bodi ya mikopo
Marejesho yaliyokusanywa ndani ya miezi tisa ni zaidi ya yaliyokusanywa miaka mitatu iliyopita Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Vigogo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)… Read more
Nuzulack Dausen /16 May 2017
Hali sasa ngumu mikopo ya elimu ya juu
Wanafunzi saba kwa kila 10 waliiomba mwaka huu wamekosa. Tahliso yaomba Serikali iwahishe utoaji wa majina wanaostahili kupata mikopo ili kupunguza usumbufu. Nuzulack Dausen na Kalunde Jamal, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam/Dodoma. Wanafunzi wanaotegemea… Read more
Nuzulack Dausen /15 May 2017
Bajeti ‘kiduchu’ ya maji yaibua mjadala mzito bungeni Tanzania
Sharon Sauwa, Mwananchi; [email protected] Dodoma. Kilio cha kutaka maji safi kilichosikika nchi nzima wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, kilijiwa kwa ahadi kemkem na jana kilipazwa na wabunge baada ya Wizara ya Maji na… Read more
Nuzulack Dausen /12 May 2017
Mwigulu aibua mkakati kudhibiti mauaji Pwani
Sharon Sauwa, Mwananchi, [email protected] Dodoma. Mauaji mfululizo ya viongozi wa vijiji na askari wa Jeshi la Polisi yamechukua nafasi katika hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani, ambayo imebainisha ongezeko la uhalifu kwa… Read more
Nuzulack Dausen /10 May 2017
/Data
Namna Serikali inavyoweza kuongeza viwanda vya bidhaa za mifugo
Tabora. Kasi ya kuongezeka kwa idadi ya mifugo nchini huenda isilete tija katika ukuzaji wa viwanda vya bidhaa za rasilimali hiyo iwapo uwekezaji kwenye miundombinu na utoaji elimu kwa wafugaji havitafanyika siku za karibuni. Ofisi… Read more
Nuzulack Dausen /9 May 2017